Hongera kwa kuwa mmoja wa vijana waliochaguliwa kushiriki kongamano la kidijitali la vijana, yaani Tanzania Youth Digital Summit - #TYDS2022
Warsha hii itafanyika tarehe 18 Agosti, 2022 Chuo cha Uhasibu Arusha.
Tafadhali jaza fomu hii kwa umakini na ujiandae kushiriki kikamilifu siku ya kongamano. Kufahamu mengi zaidi kuhusu kongamano hili tembelea
www.youthdigitalsummit.org
Jaza fomu hii mara moja tu!