Usajili wa SpeakUp Gulfton - Jan 2023
Kanisa la Gethsemane kwa ushirikiano na Jumuiya ya Connect hutoa madarasa ya Kiingereza bila malipo kwa wahamiaji na wakimbizi katika eneo la Gulfton na Sharpstown. Madarasa yote yanafundishwa kwa Kiingereza kwa maelekezo ya kusoma na kuandika dijitali, kuzungumza, kusoma, kuandika, kusikiliza, sarufi na ujuzi wa kompyuta. Madarasa haya ni bure. Tafadhali jaza fomu hii yote ya usajili. Hii ni kwa yule afikaye wa kwanza ndiye, atahudumiwa. Usajili huu haukuakikishie kuwa ndani ya darasa. Watawasiliana nawe kwa mtiani kuingia inapo jazwa fomu hii.
Sign in to Google to save your progress. Learn more
Email *
Uchaguzi wa Siku/Muda wa Darasa *
Next
Clear form
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. Report Abuse - Terms of Service - Privacy Policy