Maombi ya kazi ya Mhariri Msaidizi (Junior Editor)
Ndugu mwombaji,
Karibu Jamii Media. Tuna furahi kwamba una nia ya kuwa mhariri msaidizi wa kidijitali kwenye mradi wetu wa Digital Media Innovation Program. Nafasi unayoomba ni ya muda wote (Full Time), kituo cha kazi ni Dar es Salaam. Kazi hii iko wazi kwa wale tu wenye haki au vibali vya kufanya kazi Tanzania.
Tafadhali fuata maelekezo na toa majibu kulingana na idadi ya maneno ilivyoainishwa.
Kila la heri!