Successful applicants will be provided with a partial sponsorship which will ONLY include the registration fee. However, a few outstanding applicants who won't be able to attend even with the partial sponsorship will be considered for a full sponsorship package which will include travel and accommodation support.
__________________________________
Waombaji watakaochaguliwa watapatiwa nusu ya ufadhili, ambao ni ada ya usajili TU. Hata hivyo, waombaji wenye maombi bora na kuthibisha kwamba hawatoweza kushiriki hata wakipatiwa nusu ya ufadhili, watazingatiwa kupatiwa ufadhili kamili ambao unahusisha gharama za usafiri na malazi.