MAFUNZO: KUSOMA KWA NJIA YA MTANDAO, HURIA NA MASAFA
ANGALIZO:
1. Walimu wote walioshiriki mafunzo ya elimu mtandao yalioandaliwa na taasisi ya Shaibu Foundation wameshasajiliwa moja kwa moja, hivyo hawatalazimika kujaza fomu hii.

2. Mafunzo haya yanatolewa BURE, hivyo hakuna malipo kwa washiriki. Mshiriki ajiandae na gharama za mtandao, nauli kwa wakaazi wa chake.

3. Mafunzo yatatolewa kwa njia ya mtandao, hivyo mshiriki atalazimika ku-download application ya "Microsoft Teams" na kufahamu jinsi ya kushiriki bofya hii link https://fb.watch/adkM_hw78g/

4. Kama utakuwa na maswali au unahitaji ufafanuzi zaidi, basi usisite kuwasiliana nasi kwa barua pepe ya info@sfoundationtz.org

5. Pia tutatoa maelekezo jinsi ya kuomba "scholarship" In Shaa Allah
Sign in to Google to save your progress. Learn more
Jina kamili *
Barua Pepe *
Namba ya simu *
Mkoa *
Nchi unayotoka *
Jee ulisikia wapi kuhusu mafunzo haya ? *
Ungependa upewe taarifa rasmi kuhusu siku ya mafunnzo haya kwa njia gani ? Njia ipi ni rahisi kuwasiliana nawe *
Required
Submit
Clear form
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. Report Abuse - Terms of Service - Privacy Policy