Micro-credit software solution survey
Survey hii ni kwa ajili ya watu wenye biashara (ndogo na ya kati) ya kukopesha pesa, wateja wao, pamoja na mtu yoyote mwenye ujuzi katika biashara hiyo
Sign in to Google to save your progress. Learn more
Unamiliki biashara ya Micro-credit? *
Umeshawahi kutumia software yoyote kwa kuendesha biashara yako? *
Kama umeshawahi kutumia, changamoto zipi unakumbana nazo kwenye software unayotumia (Naomba pia utaje jina la software, na kampuni inayoitengeneza)
Kama haujawahi kutumia, kitu gani kinakufanya usitumie
Unatumia Operating system ipi katika computer yako ya kazi *
Required
Simu yako ina operating system ipi? *
Required
Katika biashara yako, mnaiendesha watu wangapi
Clear selection
Una matawi mangapi ya biashara yako, na unashirikiana nayo kivipi
Clear selection
Sotware unayotumia, ina support operating system ngapi?
Je, unalipia software unayotumia?
Clear selection
Ikitengenezwa sotware ambayo inadhi mahitaji yako ya biashara kwa wingi, je uko tayari kuitumia *
Malipo yapi unayopendelea katika kulipia software *
Kama mtu anataka kutengeneza software kwa ajili ya biashara yako, uko tayari kumsaidia ki ushauri *
Ni vitu gani muhimu kwenye software ungependa iwe navyo
Una ishi nchi gani *
Submit
Clear form
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. Report Abuse - Terms of Service - Privacy Policy