Nawiri Boma Fellowship
Nawiri Boma is a fellowship program supported by Global Trauma Project (GTP) that aims to promote and strengthen the capacity of community change-makers in Kwale and Mombasa counties to break the cycle of Family Violence & Intimate Partner Violence. Change-Makers can apply for a scholarship to the Nawiri Boma certification program in Trauma-Informed Change Making, starting in July, 2021.

(Nawiri Boma ni mradi unaoungwa mkono na Global Trauma Project (GTP) ambao unakusudia kukuza na kuimarisha wawezeshaji wa kuleta mabadiliko katika jamii ya kaunti za Kwale na Mombasa, ili kukomesha dhuluma na vurugu katika familia au kati ya wanaume na wanawake wenye ushirika wa karibu. Ikiwa wewe ni mmoja wao wakuleta mabadiliko hayo yanayotarajiwa katika jamii basi waweza kuomba udhamini wa karo kwa mpango wa uthibitisho wa Nawiri Boma katika Uundaji wa Mabadiliko ya Kiwewe, kuanzia Julai, 2021.)
Sign in to Google to save your progress. Learn more
Next
Clear form
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. Report Abuse - Terms of Service - Privacy Policy