Karibu kwenye hadithi za Shutdowns za Mtandaoni mradi wa Access Now. Kama umewahi kuwa muhanga wa Shutdowns za Mtandaoni tungependa kusikia kutoka kwako. Hii inajumuisha kutopatikana kwa mtandao wa simu za kuhamisha , mtandao usiohamishika, huduma za simu, au programu maalum kama WhatsApp, Tweeter, au Facebook.
Unachokiandika hapa kitaongoza kazi Access Now's kupigania kuzimika kwa mtandao kupitia kampeni ya #KeepItOn (
https://www.accessnow.org/keepiton). Tunaweza kutuma kwa umma kwenye tovuti yetu au kupitia vyombo vya habari.
Tunaheshimu faragha yako na tuna furahi kupokea hadithi yako kwa jina lako la utani kuliko jina lako halisi. Pia unakaribishwa kutuma kwa niaba ya mtu mwingine. Tafadhali tumia anuani
felicia@accessnow.org kwa maswali na hadithi kutuma barua pepe ya hadithi kama unapendelea kutotumia fomu hii. (PGP:
https://keys.accessnow.org/felicia.asc)
Tumia fomu hii kwa Kifaransa, Kiarabu, Kispania, na lugha nyingine:
https://www.accessnow.org/keepiton/#take-action