Kujiandikisha kwa kunufaika na kusoma  EDGE kipindi cha Summer
 Karibu kujiandikisha kwa kunufaika kusoma  EDGE kipindi cha summer. Kujaza hii fomu na kupeleka kutamwandikisha mwanafunzi wako na kunufaika  kusoma EDGE kipindi cha summer.

  Kupata nafasi kunaangaliwa  kwa wale watakaowahi kujiandikisha "wakwanza kujiandikisha wakwanza kuhudumiwa"

Siku za kusoma EDGE kipindi cha summer ni Jumatatu, Jumanne, Jumatano na Alhamisi wiki ya Julai 12-15 na Julai 19-22.

Makundi yote yatakutana kwenye mtandao. Kuna kundi la asubuhi kuanzia saa Tatu na nusu mpaka saa Nne na nusu na kundi la mchana kuanzia saa Sita na nusu mpaka saa Saba na nusu

Kwa taarifa zaidi wasiliana na mwalimu wa mwanafunzi
Sign in to Google to save your progress. Learn more
Email *
Next
Clear form
Never submit passwords through Google Forms.
This form was created inside of Salem-Keizer Public Schools. Report Abuse