Fomu ya Usajili (Online) TYDS 2022-  Morogoro

Hongera kwa kuwa mmoja wa vijana waliochaguliwa kushiriki kongamano la kidijitali la vijana, yaani Tanzania Youth Digital Summit - #TYDS2022 

Warsha hii itafanyika Chuo Kikuu Cha Sokoine, MLT 9 Main Campus Tarehe 18 Agosti 2022 kuanzia saa tatu kamili  asubuhi hadi saa sita kamili mchana.

Tafadhali jaza fomu hii kwa umakini na ujiandae kushiriki kikamilifu siku ya kongamano. Kufahamu mengi zaidi kuhusu kongamano hili tembelea www.youthdigitalsummit.org 

Jaza fomu hii mara moja tu!

Jina Kamili/ Full Name *
Umri/ Age
Jinsia/ Gender
Mkoa/ Location *
Barua pepe/ Email
Namba ya Simu/ Phone Number
Kiwango cha Elimu/ Level of education
Clear selection
Shughuli ya Kiuchumi / Economic Activity
Clear selection
Ulipata wapi taarifa kuhusu Kongamano hili/ Where did you hear about this summit?
Nini kinakuvutia zaidi katika uchumi wa kidijitali/  What interests you the most in the digital economy? *
Required
Unatumiaje vifaa vyako vya kidijitali/ How do you use your digital devices? *
Matumizi yako ya kila siku ya simu, laptop, tablet etc. Unaweza kuchagua zaidi ya moja.
Required
Umewahi kuhudhuria kongamano hili miaka ya nyuma?/ Have you attended this Summit in the Past? *
Kama jibu lako ni Ndiyo je, ni mwaka gani?/ If your answer is yes which year did you attend?
Tafadhali chagua chagua kila mwaka ulihudhuria/ Please tick each year that you attended
Submit
Clear form
Never submit passwords through Google Forms.
This form was created inside of Digital Opportunity Trust. Report Abuse