OFISI YA WAZIRI MKUU- TATHMINI
Sign in to Google to save your progress. Learn more
1. Jina la Taasisi unayotoka  *

2. Je unafahamu majukumu ya uratibu yanayofanywa na Ofisi ya Waziri Mkuu?

*
3. Taja kwa ufupi majukumu yote ya uratibu yanayotekelezwa na Ofisi ya Waziri Mkuu unayoyafahamu? *
4. a). Je, kuna huduma ambayo Ofisi yako huwa inapokea kutoka kwa Ofisi ya Waziri Mkuu?
Clear selection
4. b). Kama ndiyo, Taja huduma ambazo Ofisi yako huwa  inapokea kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu ?
5. Je, unaridhika na huduma zitolewazo na Ofisi ya Waziri Mkuu hususan katika masuala ya uratibu wa shughuli za Serikali?  *
6. a). Je, unaridhika na uratibu/ usimamizi wa utekelezaji wa Sera  za Serikali nchini? *
6. b). Endapo huridhiki (kipengele 5a,) eleza sababu na kutoa mapendekezo nini kifanyike ili kuboresha?
7. a). Je, unaridhika na utaratibu wa uratibu wa Shughuli za Serikali ndani ya Bunge ikiwemo uratibu wa upatikana wa Majibu ya Hoja za Bunge na Kamati za Bunge, na uwasilishwaji wa Miswaada ya Sheria Bungeni? *
7. b). Endapo huridhiki sana (kipengele 6a, ) eleza sababu na kutoa mapendekezo nini kifanyike?.
8. a). Je, unaridhika na utaratibu mzima wa uratibu na usimamizi wa maafa na majanga nchini?
*
8. b). Endapo huridhiki sana (kipengele 7a,), eleza sababu na kutoa mapendekezo nini kifanyike?
9. a). Je, unaridhika na Huduma za Itifaki katika Sherehe, Maadhimisho na Matukio  mbalimbali za kitaifa yanazoongozwa na viongozi wa kitaifa?
*
9. b). Endapo huridhiki sana (kipengele 8a,), eleza sababu na kutoa mapendekezo nini kifanyike?
10. a). Je, unaridhika na huduma  zinazotolewa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali?
*
10. b). Endapo huridhiki sana (kipengele 9a,), eleza sababu na kutoa mapendekezo nini kifanyike?
11. a). Je, Unaridhiki na namna Serikali inavyoshirikiana na Sekta Binafsi katika masuala mbalimbali ya maendeleo ndani na nje ya nchi ikiwemo Miongozo, Mifumo na Muundo ulioopo wa ushirkishwaji 
*
11. b). Kwa uzoefu wako, toa mapendekezo ya kuboresha utaratibu uliopo wa kushirikisha Sekta Binafsi ikiwemo utaratibu wa Mabaraza ya pamoja ya majadiliano, ushiriki Sekta Binafsi katika matukio na ziara za viongozi, na katika uandaaji na utekelezaji wa sera na mipango mbalimbali ya serikali?

12. Ofisi ya Waziri Mkuu hutumia Mfumo wa Kielektroniki ‘Dashboard’ katika kuratibu utekelezaji wa ILANI, Maagizo ya Viongozi, Utekelezaji wa Sera. Kwa Uzoefu wa wako Unapendekeza nini kifanyike kuboresha matumizi ya Mfumo huo?

*
13. a). Taja masuala ambayo yanaratibiwa vizuri Ofisi ya waziri Mkuu?
*
13. b). Taja masuala  yasiyoratibiwa vizuri Ofisi ya waziri Mkuu?
*
14. Taja vikwazo au changamoto unazokumbana nazo katika kupata huduma zinazotolewa na Ofisi ya waziri Mkuu kwa Ofisi yako au Ofisi zingine?
*
15. a). Je, unapendekeza nini  kiboreshwe katika huduma za uratibu wa shughuli za Serikali zinazotolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu? 
*
Required
15. b). Toa maoni kwenye huduma inayohitaji maboresho  *
Submit
Clear form
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. Report Abuse - Terms of Service - Privacy Policy