Chipsika Kiajira na CokeĀ 
Habari..

Zoezi la kupokea maombi ya wanufaika wa msimu wa pili wa programu ya "Chipsika kiajira na Coke 2023" Limefungwa rasmi.

Kampuni ya Coca-Cola Kwanza inapenda kutoa shukrani kwa wote waliotuma Maombi katika programu yetu ya uwezeshaji na ushirikishwaji vijana kiuchumi maarufu kama Chipsika kiajira na Coke.

Karibu katika hafla ya uwezeshaji Vijana Kiuchumi tarehe 29/07 (Jumamosi) katika Taasisi ya ustawi wa jamii (Sinza Bamaga) kuanzia saa moja Asubuhi.. Asante.

Coca-Cola Kwanza Ltd
This content is neither created nor endorsed by Google. Report Abuse - Terms of Service - Privacy Policy