Misemo ya Motisha ya Kiswahili
Kama sehemu ya mradi wetu wa kujifunza na kueneza lugha ya Kiswahili, ningependa kuwaomba kushiriki misemo mbalimbali ya Kiswahili yenye hamasa.

Misemo hii itatuhimiza na kutupa motisha, lakini pia itatusaidia kuongeza ufahamu wetu wa lugha ya Kiswahili na umuhimu wake kitamaduni. Mchango wenu utathaminiwa sana.
Unaweza kuwasilisha zaidi ya msemo moja
Sign in to Google to save your progress. Learn more
Msemo na Msemaji
mfano: Subira ina Malipo => Unknown
Submit
Clear form
Never submit passwords through Google Forms.
This form was created inside of freeCodeCamp.org. Report Abuse