Music In Africa (
www.musicinafrica.net) ni jukwaa la taarifa na mabadilishano kwa wasanii kwa kiafrika. Ili kusaidia maombi yako tafadhali jisajili na Music in Africa hapo chini. Music In Africa inafanya kazi kama EPK (Electronic Press Kit) hivyo kama utaweka maudhui yenye mashiko kama maelezo ya Msanii, nyimbo zilizotoka hivi punde, za kuangalia na kusikiliza, itaongeza wigo wa uonekana na kupata mialiko ikiwemo Sauti za Busara na matamasha mengineyo. Jisajili na uweke maelezo yako kwenye Music in Africa