SIFA ZA USHIRIKI
• Mmiliki mwanamke kwenye biashara angalau kwa 55%
• Awe na wafanyakazi wa kudumu kuanzia 5 – 49 na kuendelea
• Mtaji wa biashara kuanzia Mtaji wa Tshs Mil.5,000,000/= - Tshs Mil. 200,000,000 na kuendelea (ambao ni Wajasiriamali wa awali (viwanda vidogo), wa kati na wakubwa)
• Kutunza Kumbukumbu ya mahesabu
• Biashara lazima iwe na umri wa miaka 3 na zaidi
. Biashara iliyosajiriwa na yenye kutambuliwa na mamlaka mbalimbali za Serikali (TRA, Brela, LGA'S n.k)
. Kwa wazalishaji lazima bidhaa ziwe zimethibitishwa na TBS au TMDA