Fomu ya maombi ya kujiunga na mafunzo ya ukuzaji wa biashara na SOMO
Habari, Salamu kutoka timu ya Somo.

Tafadhali chukua dakika chache kujaza fomu hii ya maombi ya kujiunga na mafunzo ya uendeshaji bora wa biashara yanayotolewa na shirika la Somo Africa kwa mwaka 2024.

Biashara zitakazochaguliwa kujiunga na mafunzo kwa mwaka 2024 watapigiwa simu kwa ajili ya taarifa zaidi.
Sign in to Google to save your progress. Learn more
Email *
Jina kamili *
Jinsia *
Umri *
Namba ya simu *
Unaishi mkoa gani? *
Unaishi wilaya gani *
Kama ni wilaya nyingine itaje.
Kiwango chako cha elimu? *
Biashara yako imeanza mwaka gani? *
MM
/
DD
/
YYYY
Biashara yako iko katika sekta gani? *
Kama biashara ipo sekta nyingine itaje. (Kama umechagua hapo juu acha wazi.)
Biashara yako inajihusisha na nini? (Unajihusisha na kutengeneza au kutoa bidhaa/huduma ipi) *
Nani wateja lengwa kwa bidhaa/huduma yako? *
Ni yapi malengo ya biashara yako kwa miaka miwili ijayo? *
Kama ukichaguliwa kujiunga na mafunzo yetu, ni mambo ya kibiashara ungependa kujifunza? *
Umejiwekea mikakati gani kuikuza biashara yako? *
Submit
Clear form
Never submit passwords through Google Forms.
This form was created inside of The Somo Project. Report Abuse