Utafiti wa Kushiriki kwa Familia za Shule za Umma za Northampton
Mpango wa Kuboresha Wilaya ya Shule za Umma za Northampton (DIP) unasema kwamba
“Wilaya ya Shule za Northampton ni jamii ya wanafunzi waliojitolea kwa usawa na ufanisi wa
kila mwanafunzi. Kanuni ya usawa inaenda zaidi ya usawa rasmi ambapo watu wote
wanatendewa sawa. Badala yake, usawa unaleta umoja na mazingira yasiokuwa na vikwazo
ambapo kila mtu atafaidika kikamilifu.” Kushiriki kwa familia na wanafunzi ni sehemu muhimu ya
usawa katika wilaya yetu na jukumu la pamoja. Wakati familia, jamii na shule zinapofanya kazi
kwa pamoja, wanafunzi wanawezeshwa na jamii nzima inafaidika.
Shule za Umma za Northampton zingependa kusikia kuhusu familia yako na uhusiano unao na
shule ambayo mtoto wako anahudhuria. Asante kwa kushiriki uzoefu wako!
Sign in to Google to save your progress. Learn more
Email *
Tafadhali jaza utafiti tofauti kwa kila mtoto.
Ikiwa ungependa kutoa jina lako tafadhali andika hapa chini;
Next
Clear form
Never submit passwords through Google Forms.
This form was created inside of Northampton Public Schools. Report Abuse