FOMU YA KUJIUNGA NA GOODVINE DISCIPLESHIP SCHOOL WHATSAPP GROUP.
Uko njiani kuelekea mpenyo wa kiroho katika maisha yako ambao utakupeleka mbali sana zaidi ya matarajio yako uliyowahi kujiwekea. Nakuhakikishia kwamba kwa kadri utakavyozidi kusoma na kuongeza kweli hizi ndani ya roho yako, mstari kwa mstari na amri kwa amri, hutakuwa kama ulivyokuwa. Maisha yako yatabadilishwa, utapokea upako mpya wa nguvu za Mungu. Utajua namna ya kuzitenda kazi za Mungu!

Lengo kubwa la masomo haya ni kukufanya uweze kutoka katika hali ya mazoea na kuingia katika hatua ya viwango vipya, kuwa bora kabisa na chombo chenye ufanisi mara mia. Yaani utakuwa ni mtumishi ambaye Mungu na watu wanajivunia uwepo wako maana utakuwa mwanajeshi ambaye unawafugua watu kutoka kwenye vifungo na utumwa wa adui katili, shetani. Na hii ndiyo kazi ya Mungu.

Pastor Boniface Evarist Mwakisalu.
Jina la kwanza *
Jina la Pili *
Email
Mkoa *
Namba ya simu ya kujiunga *
Bible Marathon *
Weka alama unachopenda *
Required
Chagua moja tu linalokuhusu: *
Maoni au Ushauri wako
Submit
Clear form
Never submit passwords through Google Forms.
This content is neither created nor endorsed by Google. Report Abuse - Terms of Service - Privacy Policy